Mdau Ruger Kahwa ambaye ni mkuu wa ofisi ya Umoja wa Mataifa ya United Nations Office for Coordinations of Humanitarian Affairs nchini Papua New Guinea akisalimiana na mwakilishi wa ubalozi wa Japan na pembeni yake ni Sir Henry Chow wakati wa maadhimisho ya miaka 67 tangu Umoja wa Mataifa uanzishwe. Sherehe hiyo ilifanyika mjini Port Moresby – Papua New Guinea
Home
Unlabelled
mdau wa papua new guinea katika mnuso wa umoja wa mataifa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...