Mkutano wa Wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki unaozungumzia maendeleo ya miundombinu,umeanza rasmi leo hii kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Kenyatta jijini Nairobi,ambapo Rais Jakaya Mrisho Kikwete ni Mmoja wa wakuu wa nchi hizo wanaliohudhulia mkutano huo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...