Mwanafunzi Samson Mbena (24), aliyejinyonga usiku wa kuamkia jumapili .
 Wanafunzi wa mwaka wa tatu katika chuo kikuu kishiriki cha ushirika na biashara(MUCCoBS)waliokuwa wakisoma na marehemu Sam,wakiwa katika mavazi ya maombolezo.wakati wa kuuaga mwili wa mwenzao katika ukumbi wa Nyerere chuoni hapo.
Kwa habari kamili na picha zaidi toka kwa 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Samson,natamani ungekosea number ukanipigia simu mimi na kunieleza yaliyokusibu kabla hujafanya uamuzi wa kujinyonga..naamini ungesikia ya yanayonisibu mie usingaliamua kujiua. R.I.P

    ReplyDelete
  2. Michu, hivi hao polisi wamethibitisha kweli kuwa amajinyonga? Je haiwezekani kuwa aliuawa kisha akawekwa hapo mtini kwenye kamba? au je Hauiwezekani kuwa alinyongwa na watu wengine?

    ReplyDelete
  3. We mdau wa kwanza the issue of suicide is not that straight forward, it is not about you, it is about the "subject" being in a deep state of desperation, ndo maana hata the best Pyschiatrist can not predict with 100% certainty about who will commit suicide, inasikitisha saana.

    ReplyDelete
  4. Ni mipango ya MWENYEZI LAKINI NI MAAMUZI MABAYA KUFANYA MTU HASA KIJANA!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...