Leo Ankal anaamkia Sauzi ambako anakutana na Sipho 'Hot sticks' Mabuse anayetupa karata yake ya 'Burnout'iliyokuwa moto wa kuotea mbali enzi hizo za miaka 80 ya disko. Ankal anafurahi kuona wadau wanafurahi na kuburudika naye kwa ngoma hizi za ukweli. Pia ameanza kupata special requests za 'From me to you' ambazo anazikaribisha kwa mikono yote. Kama una ngoma uipendayo na unataka Ankal akurushie lete maombi kupitia issamichuzi@gmail.com na pia wenye data kazi kwenu...
Home
Unlabelled
ngoma azipendazo ankal
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...