Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Mhe. Mary Nagu (kulia) akiteta jambo na Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa wa NMB Bw. Kees Verbeek pamoja na Meneja Mawasiliano wa NMB Bi. Josephine Kulwa katika hafla ya wawekezaji katika Kilimo iliyofanyika jiji Dar es Salaam
Waziri wa Kilimo, Chakula Ushirika na Masoko, Mhe. Christopher Chiza (kulia) akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa wa NMB, Bw. Kees Verbeek katika hafla hiyo.
Baadhi ya wawekezaji katika kilimo wakibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa wa NMB, Bw. Kees Verbeek
Bw. Pal Stormorven wa YANA Tanzania akiteta jambo na Mwenyekiti wa SAGCOT Centre Ltd Bw. Salum Shamte .
Mwekezaji katika Kilimo (wa pili kushoto) Bw. Harish Dhutia akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa wa NMB, Bw. Kees Verbeek (kushoto) Maafisa wa benki Nancy Asman (kati) na Ezekiel Ligate pamoja na Meneja Mawasiliano wa NMB Bi. Josephine Kulwa.







Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...