Mkurugenzi mkuu wa PPF Bwana William Eriyo akipeana mkono na Rais Jakaya Kikwete baada ya kukabidhi hundi ya shilingi milioni kumi kama mchango wa shirika lake kwa ajili ujenzi ya Hosteli ya wanafunzi wenye ulemavu wa viungo na wasichana katika Chuo Kikuu cha St.John kilichopo mjini Dodoma, wakati wa harambee iliyofanyika katika ukumbi wa Diamond jubilee jijini Dar ea Salaam leo.Katika Harambe hiyo jumla ya shilingi milioni 584/m zilikusanya ikiwa ni ahadi na fedha taslimu.Wapili kushoto ni Askofu mkuu wa Kanisa la Anglikana Dr.Valentino Mokiwa na kulia ni Mkuu wa chuo hicho askofu mkuu mstaafu Dr.Donald Mtetemela(picha na Freddy Maro)
Home
Unlabelled
Rais Kikwete aongoza Harambbe ya Chuo kikuu cha St.John Dodoma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...