Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho toka kwa Balozi wa Iran nchini Mhe Mehdi Agha Jafari leo Novemba 21, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho toka kwa Balozi wa Canada nchini Mhe Alexandre Leveque leo Novemba 21, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipitia ujumbe maalumu kutoka kwa Rais Ali Bongo wa Gabon leo Novemba 21, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam uliowasilishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko Maalumu wa Uwekezaji wa nchi hiyo Bw. Serge Mickoto leo Novemba 21, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...