Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akivalishwa Shada la mauwa alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume wa Zanzibar,akirejea Nchini kutoka ziara ya Kiserikali nchini Vietnam.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,wakati wa mapokezi alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume wa Zanzibar,akirejea Nchini kutoka ziara ya Kiserikali nchini Vietnam.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume wa Zanzibar,akirejea Nchini kutoka ziara ya Kiserikali nchini Vietnam.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akiwasalimia Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume wa Zanzibar,akirejea Nchini kutoka ziara ya Kiserikali nchini Vietnam.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali nchini alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume wa Zanzibar,akirejea Nchini kutoka ziara ya Kiserikali nchini Vietnam.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu - Zanzibar.]

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hongera mheshimiwa lakini haikuwa sawa wananchi wa chama cha CCM kuvaa sare ya chama wakati wa kumpokea raisi wa wananchi wote.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...