Washereheshaji katika Onyesho la kumsaka Mlimbwende wa Redd's Miss Tanzania 2012 usiku huu ndani ya Ukumbi wa Hoteli ya Blue Peal,Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Taji Liundi na Kulia ni Jokate Mwegelo.
 Warembo wa Redd's Miss Tanzania wakionyesha show yao mbele ya Watanzania katika Ukumbi wa Hoteli ya Blue Peal,Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam,usiku huu.
 Warembo wakipita katika jukwaani na Mavazi ya Ubunifu.
 Burudani ya Ngoma za Asili kutoka kwa Kundi la Wanne Star.
 Wadau wa Miss Tanzania wakibadilishana Mawazo.
 Wanahabari kazini.
Wadau kibao ndani ya Ukumbi wa Hoteli ya Blue Peal,Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam usiku huu.
 Watu kibao ndani ya Ukumbi wa Hoteli ya Blue Peal,Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.
Wanalibeneke mzigoni kama kawaida.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. wanalibena nakushukuruni sana kwa kutuleta mambo haya inaonekana jinsi mnavyojali kazi yenu mko mzigoni kama kawaida na kutupa raha sisi tulio mbali kwa kukuangaliyeni kwenye mtandoa.


    poa sana kila la kheri

    ReplyDelete
  2. warembo hapo ni hao wacheza ngoma

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...