Spika
wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza waombolezaji kuweka maua katika mwili wa
Mzee Jayantlal Rajani ikiwa ni ishara ya kutoa heshma za mwisho kwa marehemu wakati wa kuaga mwili wa marehemu Mzee Rajani
nyumbani kwake upanga jijini Dar es salaam leo.
Spika wa Bunge
Mhe. Anne Makinda akiwa na Makamu
Mwenyekiti wa CCM bara Mzee Philip Mangula wakitoa heshima zao za mwisho
kwa mwili wa mzee Rajani Picha na Owen Mwandumbya


.jpg)

Pole kwa familia.Mungu amlaze pema.
ReplyDelete