Kufuatia kifo cha ndugu yetu, Fred Alex Mtoi, kilichotokea ghafla siku ya Ijumaa, 16 Nov 2012, London, mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu kwenda Dar es salaam Tanzania kwa mizishi inafanyika.
Tunaowomba ndugu na jamaa kusaidia kwa michango yenu ya hali na mali ili tuweze kufanikisha kuupeleka mwili wa marehemu nyumbani.
Michango iwekwe kwenye
ACC Number :10299068.
SC:30-93-29 LLOYDS TSB BANK
Israel Saria.
Mratibu wa Mchakato wa
kuusafirisha mwili wa marehemu.
Tupo wote Saria, Mungu abariki kazi ya mikono yako.
ReplyDeleteWapi wazee wa kazi?