Mama Joyce Kallaghe (kushoto) ambaye ni Makamu wa Rais wa Jumuiya ya Commonwealth Countries League (CCL) walioandaa Tamasha la Kuchangia Mtoto wa Kike akiwaonyesha wageni mbali mbali vitu tofauti tofauti vitakavyouzwa kwa ajili ya kuchangia mfuko huu.
Meya wa Manispaa ya Royal Kensington na Chelsea nchini Uingereza,Christopher Buckmaster akizungumza wakati wa kufungua Tamasha la Kuchangia Mtoto wa Kike lililofanyika Royal Borough of Kensington chini ya uongozi kutoka kwa Mh. Balozi wa Grenada Ruth Elizabeth Rouse ambaye ndio raisi wa Jumuiya hiyo akisaidia na Makamu wake Mama Joyce Kallaghe ambaye ni Mke wa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza,Mh. Peter Kallaghe.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...