Mhe. Dr. Mwanjelwa akitoa mada kwenye mkutano wa WOMEN AND DECISION MAKING IN POLITICS kwa wajumbe wanawake toka nchi 79 za ACP/EU wanaoshiriki mkutano wa nchi hizo unaofanyika Paramaribo, Suriname. Mhe. Dr. Mwanjelwa alikuwa ni mmoja wa jopo la wataalam lililokuwa likitathmini fursa walizonazo wanawake katika nchi wanachama wa Africa Carribbean, Pacifiic na Jumuiya ya Ulaya.
Mhe. Dr. Mwanjelwa akisalimiana na Rais wa Guyana, Mhe. Donald Ramottar walipokutana katika mkutano wa Mabunge ya Nchi za Afrika, Carribbean na Pacific jumuiya ya Ulaya unaoendelea jijini Paramaribo nchini Suriname. Mhe. Mwanjelwa ni miongoni wa wajumbe wa Tanzania wanaoshiriki katika mkutano huo ambao unajumuisha Mhe. Job Ndugai, Naibu Spika na Kiongozi wa Msafara na Mhe. Mussa Azzan Zungu, Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...