Naibu waziri ofisi ya makamu wa raisi anaye shugulikia mazingiara mh Charles Kitwanga akiwa na mkurugenzi wa sayansi tanzania Prof Evelyene Mbede wakiangalia zao lapamba inayo limwa kitika mkoa wa Bobo nchini Burkina faso kwatumia teknolojia ya uhaulishaji BT picha na chris mfinanga
 Waziri wa sayansi na technolojia Prof Makame Mbarawa akipata maelezo kutoka kwa bwana Sanu Zessouma ambaye ni mkulima wa pamba inayolimwa kwakutumia BT inavyo toa mazao mengi kusho ni mkurugenzi mkuu wa bodi ya pamba tanzania bwana Marko Mtunga  ujumbe huo watanzania upo nchini Burkina faso katika ziara ya  kujifunza ukulima wa teknolojia ya uhaulishaji pamba picha na chris mfinanga 
 Shehena ya pamba iliyo iliyopo katika katika kiwanda cha kuchambulia mkoa wa Bobo nchini Burkina faso
Ujumbe wa Tanzania  na wenyeji  wao wazira ya mafunzo wakiwa katika picha ya pamoja katika kiwanda cha kuchambulia pamba. Picha na Chris Mfinanga

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Evelina Evelina Evelina, Evelina Evelina Burkinafaso........

    ReplyDelete
  2. hizi stori za GM crops msituletee bongo, Kwanza hizi mbegu wauzaji ni multinationals ambao watakuwa wanacontrol bei na aina ya mbolea na pesticcides tutakazoweza kutumia. pili nendeni India mkapate somo zuri zaidi ya kwanini wakulima wengi wa pamba wanajiua. Waheshimiwa Washington watakuwa wanaamua mletewe mbegu gani na kwa dollar ngapi, wakitaka uzalishaji upungue wanawabadilishia mbegu au kuwaletea ugonjwa ambao kuutokomeza mtawategemea wao.

    ReplyDelete
  3. Mtoa maoni wa kwanza naona weekend hii ulabu umekolea mpaka anamkumbuka Aurlus Mabele. Pole na raha zako.

    ReplyDelete
  4. Mdau wa tatu, si ulabu wala nini,kwanza mimi sinywi wala sivuti. I was just thinking loud while enjoying the weekend.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...