Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Dr.REMMY (RIP),
    Marehem alikubalika na jamii ya watanzania,alikua mwanamuziki aliyechinganya sana na jamii,muziki wake ulikua sauti ya wanyonge,angalia wapenzi wake wanacheza hadi katika mvua na kumkubali.
    (RIP) Dr.Remmy
    wadau
    FFU

    ReplyDelete
  2. NAAM KATI YA WANAMUZIKI WALIOKUA WAKIKUBALIKA NI DR.REMMY. MTETEZI WA WANYONGE KUPITIA NYIMBO ZAKE. KWELI MAISHA MAFUPI SANA. MWENYEZIMUNGU AMUWEKE MAHALA ANAPOSTAHILI.. AMIN

    ReplyDelete
  3. Du nimeangalia mpaka mwisho kweli lemmy alikua kiboko tena alikua karibu mno na watu wa chini, cha ajabu alifariki akiwa hajaufaidi uraia wake aliokuja pewa mwishoni, hii ndio bongo mnaigeria anaingia leo baada ya wiki anapata uraia, wahindi wanaingia leo baada ya wiki wanapata uraia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...