Wakongwe wa kukung'uta gitaa Afrika Ngouma Lokito kushoto na Lokasa ya Mbongo wakifanya vitu vyao usiku wa Mitindo Jumamosi huko Hampton Conference Centre Capitol Heights Md.
Kundi zima la Supa Bakulutu lilifanya balaa.

Hafsa Kazinja a.k.a Queen of Zouk (E.A) na rapper na mcheza show
Roikongo walitia fora. Picha zaidi BOFYA HAPA


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...