Katibu Mkuu wa klabu ya waandishi wa habari Mkoa wa Arusha Eliya Mbonea (kushoto), akisaini nyaraka za makabidhiano ya
vifaa mbalimbali vya ofisi kutoka kwa umoja wa klabu za waandishi wa habari nchini UTPC katika ofisi za chama hicho jijini Arusha.
Anaeshuhudia kulia ni Mkurugenzi wa fedha na utawala wa UTPC, Jackson Uisso.
Mwenyekiti wa Klabu ya waandishi wa habari Mkoa wa Arusha, Claud Gwandu pamoja na Mkurugenzi wa fedha na utawala wa umoja wa
vilabu ya waandishi wa habari nchini (UTPC), Jackson Uisso (kulia), wakikagua moja ya vifaa vilivyotolewa msaada na umoja huo kwa APC juzi jijini Arusha.Picha na Woinde Shizza - Globu ya Jamii,Arusha.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...