Watoto ambao majina yao hayakuweza fahamika mara moja wakiwa na nyavu zao huku wakionekana kuvua samaki (sijui ni waaina gani) kwenye moja ya mtaro unaopitisha maji machafu,maeneo ya Regent Estate Mikocheni A,jijini Dar es Salaam kama walivyonaswa na kamera ya Globu ya Jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...