WATUHUMIWA WA WIZI WA NYAYA ZA UMEME WA TANESCO,WILLIAM JONAS (MBELE) NA HUSSEIN ABUBAKARI WAKISHUSHA WAYA HIZO KWENYE KITUO CHA POLISI USA RIVER,MARA BAADA YA KUKAMATWA WAKIWA NA KIDHIBITI HICHO.
LAINI YA USA 33KV ENEO LA KIKATITI IKIWA IMEKATWA WAYA WA SHABA PHASE NAMBA MBILI NA KUSABABISHA UKOSEFU WA UMEME KATIKA ENEO HILO.
WATUHUMIWA ABUBAKARI (KUSHOTO) NA MWINGINE ALIETAMBULIKA KWA JINA LA AUGUSTINO WAKIWA CHINI YA ULINZI MKALI WA POLISI HUKU WAKIWA WAMEFUNGWA PINGU WAKIPELEKWA KITUO CHA POLISI USA RIVER.
MTUHUMIWA WILLIAM JONAS AKIWA KATIKA GARI LA TANESCO BAADA YA KUKAMATWA.
MENEJA WA TANESCO MKOA WA ARUSHA BWANA NICHOLAUS KAMOLEKA AKIWASHUKURU WANANCHI WA KIJIJI CHA KWAMANGASHA -KIKATITI KWA KUWAKAMATA WEZI WA NYAYA LAINI YA USA FEEDER
MWENYEKITI WA KIJIJI CHA KWAMANGASHA KIKATITI BWANA ERNEST KAAYA AKIONGEA NA WANANCHI KUHUSU WIZI WA NYAYA ZA SHABA NA UKATILI UNAOTENDWA NA WEZI KUTOKA UNGA LIMITED- ARUSHA.


.png)
.png)
.png)

.png)
.png)
ipo haja serikali kuingilia kati hukumu za mikononi
ReplyDeleteDuh Katika wizi na hujuma zilizowahifanywa Taneshko Hawa ni vibaka tu!! Wachapwe viboko waachiliwe Ni njaa tu!! Wapo Nguli wa wizi na hujuma kubwa sana Tanesko na wangali wakipeta - Hamna wala anayesubutu kuwanyooshea kidolle!! Aibu yetu kwa kizazi chetu baadaye!! Tukitaka tujisafishe sasa. Hatutaki njaa yetu itaturejesha juu ya nguzo hizo tena na tena!! Tz Oyeeee!
ReplyDeleteKwani wamekamatwa baadaya ya mapambano na polisi kwa kurushiana risasi? Mbona habari haizungumzii kuwa kulikuwa na mapambano? Maana jinsi wanavyoonekana, ni kama wamesulibiwa bila ya kuwa hukumu ya kufanyiwa hivyo haijatolewa mahakamani. Jamani si vizuri. Hapa haki za binadamu hakuna kabisa. Mimi nataka niichukue hii kesi, ikibidi nimshirikishe Bingwa wa Makesi Mahakamani Mchungaji Mtikila, ili hao wote waliowasulubu watuhumiwa wote kinyume na sheria wakamatwe na kufikishwa mahakamani.
ReplyDeleteAudhubillah
ReplyDeleteThese are bad boys, wizi, nachukia sana wizi. Lakini mwizi ni binAdam kama mimi na wewe. Pengine hawa jamaa wameiba kwa kuwa na njaa na kukosa njia ya kilisha familia. Kama ni hivyo nawaonea huruma na pengine mimi na wewe pia tungeiba.Sababu kuwapiga kama inavyoonekana kwenye hizo picha. Ukatili mkubwa, angalia yule jamaa William Jonas kafungwa kama kama mbuzi, kisha kamba is so tight his hands are swollen.They have had enough punishment if I were a judge I would have released them with a caution.
WAJASILIA MALI...LOL!
ReplyDeleteNnachokiona kwenye picha namba moja, ni uzembe wa huyo askari polisi, ameweka silaha (SMG)chini na karibu kabisa na huyo mtuhumiwa.Endapo huyo mtuhumiwa atapata ujasiri wakuichukuwa hiyo silaha ni hatari kwa maisha ya hao polisi na hao watuhumiwa wanaweza kutoroka!
ReplyDeleteHAKI ZA BINADAMU HAKUNA KABISA NCHINI TANZANIA.
ReplyDeleteMABALOZI WA NCHI ZA NJE NA WAHUSIKA WA HAKI ZA BINADAMU TUNAOMBA MTUPIGIE KELELE SWALA ZIMA LA HAKI ZA BINADAMU KWA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA PAMOJA NA ORGANS ZAKE ZOTE ZIFUATE HAKI ZOTE BINADAMU.
MWIZI NI MWIZI LAKINI HAKI INATENDEKA MAHAKAMANI, KUWA POLISI HAUNA HAKI YA KUMPIGA MTUHUMIWA KAMA PICHA ZINAVYOONESHA. WAHUSIKA WALIOWAPIGA HAWA WATU WACHUKULIWE SHERIA NA HATUA, NA INCIDENTS KAMA HIZI ZIKITOKEA BASI INTERNAL INVESTIGATION ZIFANYIKE MARA MOJA!.
SHAME ON YOU ALL.
ebu angalia Mtuhumiwa William Jonas alivyofungwa fungwa miwaya mikononi bila kufuatwa haki za binadamu na uenda ikamletea matatizo, maumivu, vidonda, kilema, nk hapo baadae!
ReplyDelete
ReplyDeletemaungana mkono na wote waliotoa mawazo hapo juu.
Infact it is sad to be honest. Okay fine they have been arrested but there are big and gigger fisad who are actually stealing lots of money and there are no arrests so far.
wezi wa kuku, wezi wa nyaya ndo wanakamatwa na kusulubishwa
ni hayo tu!
Mwananchi
Nchi yetu TANZANIA,nchi ya amani!!!hivi amani ni kutokuwa na vita na nchi nyingine tu hata kama raia wananyanyaswa kiasi hiki?(wanyonge na maskini ambao ndiyo wengi)hawa utakuta wanategemewa na ukoo mzima,sitetei uhalifu lakini kwa nini kuwapiga namna hiyo wakati hizo waya walizoiba thamani yake haifiki hata asilimia 1 ya pesa zilizoibiwa na vigogo/mafisadi ambao hawatakamatwa hata siku moja na bado wanazidi kulindwa na kupewa nafasi zote muhimu katika jamii.Hawa wanyonge wameumizwa kwa kipigo na bado wanaenda kufia selo.
ReplyDeleteSiku moja Mungu atageuza kibao ndiyo hapo kutakapokuwa na kilio na kusaga meno.Ole wenu wote mnaodhulumu haki ya wanyonge na masikini.
Huu Ni UHUJUMU uchumi kama ule wa akina YOna, Mramba,Mgonja,Ngeleja, maige, Chenge, Lowasa hivyo nao 'wabebwe kama hao vigogo
ReplyDeleteENL yupo tu anatamba mbona hajakamatwa?? na cha kusikitisha anataka na Kiti 2015 kwa nguvu zote kwa pesa alizoiba...na bado mafisadi wengi tu wapo!!! nchi hii inasikitisha sana natamani ata iwekewe vikwazo.
ReplyDelete