Professa wa  Chuo kikuu  cha Denver Dr. Douglas Allen cha nchini Marekani  akimshukuru Mkurugenzi wa masoko wa Airtel Cheikh Sarr kwa kuwapokea  na kuongea na walimu na wanafunzi wa elimu ya juu wa chuo hicho wakati wa ziara ya kimasomo nchini na kutembelea ofisi za makao makuu ya Airtel yaliyopo Moroco jijini Dar es Saalam. hii ni mara ya pili kwa wanafunzi wa chuo hicho kutembelea Ofisi za Airtel Tanzania. 
Mkurugenzi wa masoko wa Airtel Cheikh Sarr akiongea na wanafunzi  wa stashahada ya juu ya biashara toka chuko cha biashara cha Daniels cha chuo kikuu cha Denver cha nchini Marekani wakati wanafunzi hao waliipotembelea Ofisi za Airtel Makao Makuu Jana  katika ziara za mafunzo na kujifunza mambo mbalimbali yakiwemo ya biashara, uchumi na kufahamu zaidi kuhusu Kampuni ya Airtel.  hii ni mara ya pili kwa wanafunzi wa chuo hicho kutembelea Ofisi za Airtel Tanzania
Wanafunzi na waalimu wa Chuo kikuu cha Denver kilichopo nchini Marekani pamoja na Mkurugenzi wa masoko wa Airtel Cheikh Sarr wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza ziara yao katika ofisi za makao makuu ya Airtel zilizopo Morocco jijini Dar es Saalam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...