Hapa ni katikati ya jiji la Dar es salaam. Je ni wapi hasa?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. makutano ya barabara ya morogoro road na Msimbazi ,jengo hilo refu hapo ni Uvccm,

    mabao

    ReplyDelete
  2. hapo kwenye mabati na matangazo ndipo wazee waliopigana vita kuu walipodhulumiwa jengo lao. Alitokea mjanja na kubomoa jengo lao eti kuwajengea kitega uchumi sasa ukizingatia wazee wote wako over 70, kitega uchumi kitamnufaisha nani. Wazee hao walikua wameridhika na sehemu yao ya kukutana na kukumbushana ya kale na kucheza bao!!

    ReplyDelete
  3. Corner of old chibuku factory.new vijana bldg which is full of shady n corrupt dealings

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...