Mmoja wa warembo waliojitokeza kwenye usaili wa kumtafuta Mwanamitindo mwenye mvuto wa kipekee mwaka 2012 ( Unique Model 2012) unaofanyika katika Hoteli ya Lamada jijini Dar es Salaam leo.Warembo wengi wamejitokeza kwenye usaili huo huku wote wakiwa na hali ya kutaka kunyakua taji hilo linaloshikiliwa na Mwanamitindo Asia Dachi.
Wadhamini wa Shindano hilo ni Giraffe ocean view hotel,Dtv,Gazeti la Tanzania Daima,mashujaa Investment ltd, Sophernner Investment co,Fabak fashions,ltd,K.d.surelia,young don records,Kiu investment ltd,Michuzi blog,Oriental bureau de change,,88.4 clouds fm,J’s professional ltd,Lamada apartments hotel,Jiachie blog,Mtaa kwa Mtaa blog na Unique entertainment blog.

Sehemu ya Warembo waliojitokeza kwenye usaili wa kumtafuta Mwanamitindo mwenye mvuto wa kipekee mwaka 2012 ( Unique Model 2012) unaofanyika katika Hoteli ya Lamada jijini Dar es Salaam leo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...