Apprux application inapenda kuwatangazia kupatikana kwa android application buree yenye uwezo wa kukusaidia kuperuzi kwenye vichwa vya habari vya baadhi ya blogs, website na magazeti ya Tanzania, pia inakupa uwezo wa kuona habari toka kwenye original source kwa urahisi zaidi
Application hii imetengenezwa kwa ajili ya watanzania na ni bure kabisa.
Kwa wote wenye phone yenye android 2.1 na kuendelea unaweza kutumia hii application kwenye simu yak bila shida.
Tunategemea itawasaidia, pia tunakaribisha maoni yenu kupitia email ya iannashin@gmail.com
Kudownload ingia kwenye hii link https://play.google.com/store/ apps/details?id=com.ian. bongonews&feature=search_ result#?t= W251bGwsMSwxLDEsImNvbS5pYW4uYm 9uZ29uZXdzIl0.
Au kwenye simu yako ingia kwenye store halafu search peruzi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...