Waziri wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara (wa pili kulia) akimvisha mkanda wa ubingwa wa WBF,bondia Francis Miyeyusho baada ya kumtwanga Nassibu Ramadhani kwa T.K.O raundi ya kumi.kushoto ni promota wa mpambano huo,Mohamed Bawazir. |
Home
Unlabelled
BONDIA FRANCIS MIYEYUSHO AZIMA NG'EBE ZA NASSIBU RAMADHANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Sasa kaka francis kwanza nakupongeza kwa ushindi pia najua utakua umepata fedha japo kidogo ila si kitu nachotaka kukushauri ni kutengeneza mwili wa kimichezo hasa masumbwi simaanishi mwili jumba hata ila ongeza kidogo nyama kwa kwenda gym ili mwili uwe kama wa mwanamasumbwi wa kweli ili hata sisi tulio mbali na huko tuweze kuvutiwa na hatimae kuweza kufanya biashara za kweli maana kwa miili hiyo tunaogopa hata kukualika kwa mpambano kwa kuhofia kupotezana na kupata lawama bure zisizo na msingi.
ReplyDeleteEbwana michuzi bondia wetu anayekwenda german kutuwakilisha atapigana lini vile? nazungumzia cheka wa morogoro?
ReplyDeleteMdau wa kwanza unaandika pumba, do you know Joe Calzaghe?
ReplyDelete