Home
Unlabelled
Breaking nyuzzzz:........ trela la lori lateketea kwa moto mchana huu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Chanzo cha moto huo najua ni DEAL
ReplyDeletelina mafuta? haiwezekani hapo wote wanaotazama tungeliwahesabu kama marehemu!
ReplyDeleteDeal tu lazima wsjanja wameshadownload mzigo wa transit kisha wakajilipua kimtindo! Nchi hii ns biashara ya mafuta hewa kuna kaazi kwelikweli
ReplyDeleteHivi inaingia akilini kweli kuwa hilo lori lilikuwa na mafuta? Na likateketea lote? Na hao washangaaji wakaendelea kushangaa mpaka lita 15000 zote zinaungua?
ReplyDelete-Tunalazimishwa na kuweka vizima moto kwenye magari yetu.
ReplyDelete-Tunafika mahali hata polisi na watu wa zima moto wanataka kutupiga. -Tunapotezewa muda wetu tukienda makazini kwa ajili y vizima moto
-Tunavinunua kwa hao hao zima moto tukikutana na mapolisi tunaambiwa ni feki
Tunalazimishwa kulipa faini na kama hatuna faini tunatakiwa tutoe rushwa, tunafanywa tuendelee kuwa masikini
KUMBE VIZIMA MOTO VYENYEWE HAVIWEZI KUZIMA MOTO!
Jamani hivi haƄo kibamba kuna nini kwa nini ajali nyingi hutokea hapo?
ReplyDeleteElimu ya tahadhari bado inahitaji kwa Tanzani, hao watu wapo karibu sana kama hiyo kitu ingelipuka tungekuwa tunazungumzia mengine mida hii.
ReplyDelete