Waziri wa Habari Utamaduni,Utalii na Michezo Saidi Ali Mbarouk akibadilishana mawazo na kaimu Mkuu wa Chuo cha Habari Rashid Omar Kombo kabla ya kuzinduliwa Bodi mpya ya chuo hicho huko katika ukumbi wa Chuo hicho Vuga, Unguja
Waziri wa Habari Utamaduni,Utalii na Michezo Saidi Ali Mbarouk akizungumza na wajumbe wapya wa Bodi hiyo hawapo pichani kulia yake ni mwenyekiti wa Bodi Chande Omar Omar huko katika ukumbi wa Chuo hicho Vuga.
Waziri wa Habari Utamaduni,Utalii na Michezo Saidi Ali Mbarouk akimkabidhi katiba Yusuf Omar Chunda mjumbe wa Bodi ya Chuo cha Habari Zanzibar ambae pia ni Mkurugenzi wa Habari maelezo Zanzibar huko katika ukumbi wa chuo hicho Vuga.
Picha ya pamoja ya wajumbe wapya wa Bodi hiyo wakiwa na Waziri wa Habari Utamaduni,Utalii na Michezo Saidi Ali Mbarouk. PICHA NA MAKAME MSHENGA-MAELEZO ZANZIBAR.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...