BAADA YA KUMALIZA ZIARA YAKE YA MIEZI MITATU NCHINI MAREKANI.....MALKIA WA ZOUK "HAFSA KAZINJA " SASA KUWASILI DAR-ES-SALAAM IJUMAA HII NA NDEGE YA SOUTH AFRICAN AIRLINE,HABARI HIZI ZIMETHIBITISHWA NA MAPROMOTER WAKE KUTOKA MAREKANI NDUGU "DMK" & J&P..NA TUNAOMBA TUJITOKEZE KWA WINGI AIRPORT KUMPOKEA,PIA AKIWA MAREKANI "HAFSA ALIWEZA KUREKODI NYIMBO MPYA NA MPIGA GITAA MAARUFU KUTOKA ZAIRE "NGUMA LOKITO...NA ALIWEZA KUFANYA VIDEO HIYO NA MADANSA WA KIZUNGU AMBAO WALIUPENDA SANA WIMBO HUO UNAOITWA "SONGA MBELE" !!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...