Leo Tarehe 1 December ni Siku ya Hepi Besdei ya Tracey, bintiye msanii maarufu Athuman Ford 'Wabogojo' ambaye kwa sasa yuko Macau nchini China kikazi. Anamtakia Tracey kila la kheri katika siku hii muhimu, na Globu ya Jamii inaungana naye kwa kusema Hepi Besdei tu yuuuuuuuuuuuuuuu!!!
Wabogojo akiwa kazini...
HBD TOTOOOO
ReplyDelete
ReplyDeleteHEHEH! Asante kaka!
HAPPY BIRTHDAY 2 U
Mapenzi mengi na Mabusu kwa Tracey. Happy Birthday to uuuuuuuuuuuuuuuuuuu
ReplyDelete