Bwana Harusi Richard Mllatie Assey na Bi. Jackline Hamson Ghikas wakitoka kaniasani baada ya kufunga ndoa takatifu katika kanisa la St. Peters Oysterbay jijini Dar,hivi karibuni.

Bwana Harusi Richard Mllatie Assey akimvisha pete mkewe Bibi. Jacline Hamson Ghikas wakati wa ndoa takatifu illiyofungwa leo jijini Dar es Salaam katika kanisa la St. Peters.

Bwana Harusi Richard Mllatie Assey akiangusha saini katika gamba la kuhalalisha ndoa takatifu.
Bibi Harusi Jackline Richard Mllatie Assey naye akitia saini.
Maharusi wakionyesha vyeti vya ndoa.
Bwana Harusi Handsome, Bibi Harusi sooo beautiful. Yaani mpaka raha yaani.Dah! Hongereni sana. Mungu awabariki watoto wazuri kama ninyi na wawe wema pia.
ReplyDelete