Meneja masoko wa Kampuni ya Megatrade Investment ltd,Goodluck Kway akikabidhi msaada wa vifaa
vya shule na chakula kwa ajili ya sikukuu za krismas na mwaka mpya
kwa watoto wa kituo cha Kilimanjaro.
Mkurugenzi wa kituo cha kulelea watoto yatima na waishio katika
mazingira magumu cha Kilimanjaro,Bw. Michael Mpombe (aliyeshika karatasi) akizungumza mara baada ya kupokea msaada wa vifaa vya shule na chakula
kwa ajili ya siku kuu za Krismas na mwaka mpya kutoka kampuni ya
Megatrade investment ltd ya jijini arusha.kulia kwake ni meneja masoko
wa kampuni hiyo Goodluck Kway.shoto kwake ni Jafary Rashid ambao ni
ofisa wa mauzo mkoa wa Kilimanjaro.
Watoto yatima na waishio katika kituo hicho wakimsiliza kwa makini
meneja masoko wa kampuni ya Megatrade Investment ltd ya jijini Arusha
,hayupo pichani mara baada ya kuwakabidhi zawadi ya siku kuu za
krismas na mwaka mpya.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...