Naibu Waziri, Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo, Mhe. Amos Makalla (kulia) akiwa na wahitimu wenzake wa Shahada ya Uzamili ya biashara (MBA) wakati wa Mahafali ya 11 ya Chuo Kikuu cha Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Diamond Jumblee
Naibu Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Mhe.  Amos Makalla akiwa na familia yake muda mfupi baada ya kutunukiwa Shahada ya Uzamili ya biashara (MBA) wakati wa Mahafali ya 11 ya Chuo Kikuu cha Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Diamond Jublee
Naibu Waziri wa Habari VijanaUtamaduni na Michezo  Mhe. Amos Makala akipongezwa na Mbunge wa Mkanyageni (CUF) Habib Mnyaa muda mfupi baada ya kutunukiwa Shahada ya uzamili ya biashara wakati wa Mhafali ya 11 ya Chuo Kikuu cha Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam
Naibu Waziri, Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo  Mhe. Amos Makalla akiwa na baadhi ya wahitimu wenzake.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...