Home
Unlabelled
Mlimani Park Orchestra katika Steji ya Sauti za Busara
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Asante Ankal huu ndo muziki wa ukweli na siyo ule wa kopi pesti studio CD usiyo orijino.
ReplyDeleteMdau
Muziki wa dansi
Baaabu kubwaaa, ilikua lini hiyo huko bongo? kalaga bao! sina habari atii.
ReplyDeletewazee wa kariakoo hawa....good memory
ReplyDeletesi hivyo bwana>>>>> mpaka wazungu wanachenza nginde.. na sisi twaweza kabisaaa
ReplyDeleteBaabu kubwa,nakumbuka siku Papa wemba alipopinda kona kuona wazee wa kariakoo wanafanya kweli
ReplyDelete