KATIKA KUENDELEZA LUGHA YETU YA KISWAHILI HUKU UGHAIBUNI NATAFUTA MTU YOYOTE MWEYE UCHESHI/KICHEKESHO KIPYA AU VIPYA (JOKES ZA KISWAHILI) AMBAVYO HAVIJAWAHI KUTUMIWA NA MSANII YOYOTE YULE NDANI NA NJE YA NCHI.
NAHITAJI HIVYO VICHEKESHO.
NANUNUA KWA BEI NZURI KILA JOKES.
WASILIANA NAMI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...