Mdau Herman Berege leo amekutana na ajali hii iliyotokea katika kona za mlima wa Kitonga mkoani Iringa,iliyokutanisha lori hili linaloonekana na Basi la Abiria la Kampuni ya Sumry.kwa mujibu wa mashuhuda inasemekana Lorry hilo lili fail brake na kuliparamia basi la Sumry ambalo lilikuwa likipandisha mlima huo,likiwa safarini kwenda Songea.

 Ajali hii imetokea jana mchana na haijafahamika ni watu wangapi wamepoteza maisha katika ajali hiyo.

 Katika kipindi hiki cha mwishi wa mwaka hatuna budi kumuomba mungu tunaposafiri manake ajali zinatisha.
Basi la Sumry lionekanavyo baada ya kutokea kwa ajali hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. BREKI ZLIGOMA KILA SIKU YA MUNGU SIJUI LINI HILI TATIZO LA KUGOMA BREKI LITATAZAMWA KWA MACHO MAWILI.

    ReplyDelete
  2. Do anyone know how many who got killed or injured? Still no information?
    Asante.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...