Gloria Gaynor na ngoma yake ya 'I Will Survive' 
anakumbukwa  vichwani mwetu hadi leo  kwa ukali wake...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Duh hiki kibao kimenikumbusha mbali.Halafu kuna mwanamuziki anaitwa Colonel Abrams mnamo katikati ya miaka ya 80 alitoa vibao vikali(sikumbuki majina),tukiwa sekondari miguu ilikuwa haigusi sakafuni,mambo ya maFunky....Kipindi kile Muziki wa Afrika kusini(Bubblegum) ulikuwa umeshika soko la Tanzania,Thank you Mr.DJ,We miss you manelow,Shaile time,nk.Ilikuwa burudani kweli kweli

    David V

    ReplyDelete
  2. Colonel Abrams- Trapped, Music is the answer, leave the message behind the door etc, old is gold.

    ReplyDelete
  3. ankal hapa umenikuna sana

    ReplyDelete
  4. KAMA MIPASHO VILEEH

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...