Akaja Colonel Abrams na ngoma ya 'Trapped'na kukamata chati si mchezo....
Home
Unlabelled
ngoma azipendazo ankal - enzi hizo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hee hee heeee.Hapa umegusa kwenyewe.Hapa tulikuwa tunacheza kama hatuna mifupa.Jana nilialikwa kwenye Mnuso mmoja mitaa ya Urafiki(Daresalaam),pamoja na hali ya hewa kuwa 'ngumu' hapa Daresaalaaam nikasema ngoja nifike.Zilipigwa za enzi hizo kadhaa lakini kuna mbili zilinikuna.MTOTO SI NGUO...,MOMBASA SIENDI TENA,MAJENGO SIENDI TENA....!!(Ilikuwa bendi gani hii?Mombasa roots?/The mushroom?)
ReplyDeleteDavid V
ahh, hapa umenikumbusha botro party za chuo na mshikaji wangu Bie alikuwa anacheza mbwabwa mbwalibo kama hana akili vizuri!!
ReplyDeleteHii tulikuwa tunaiitaga Kesi ya SODA.
ReplyDelete"kesi ya sooda and I don't know what to do". Tulikuwa tunajiimbiaga tu enzi zile mradi burudani tu.
dAH! lONG TIME
Daaaah !! Kwa kweli umetukumbusha mbaali. Huu wimbo ulishika chati kwa muda mrefu sana enzi hizo.
ReplyDeleteAsante sana Ankal kwa kutukumbusha tulikotoka !!!!