Ngoma ya 'Long Time' ya Mr Arrow ilikuwa kama wimbo wa taifa wa disko miaka ya 80. Ukipigwa lazima kila mtu asimame kucheza, wakati huo ilikuwa kutikisa kichwa na mabega....Acha!
Home
Unlabelled
ngoma azipendazo ankal
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Long time sijakula chips......
ReplyDeleteMjomba namie nipo! Ila kati ya nyimbo zake tuliipenda zaid ile ya party people iliyoitwa HOT HOT HOT. hapo wanakosekana Wagadu Gu wakituletea Easy Dancing na Bunny Mack with My Sweety My Sugar. Blackmpingo
ReplyDeleteDuh Long Times naikumbuka mie ni Bw Mdogo saaaaaaaaana Rungwe Disco Toto najirusha mabreka.
ReplyDeletekipepe ingia kati tucheze madansi ooh ooh long timeee!!! hahahaha UNCLE hio hata mimi mtoto wa 1980 nimeicheza. ngoma draw leo
ReplyDeletenakumba wakati huo disco toto ymca RSV dj chris fabby the lover na super deo, uncle na camera yako una hustle umetoka mbali mpaka hapo ulipofika big up
ReplyDeleteKurasini kuna party na mvua ilinyesha hahahahaa.
ReplyDelete