Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea kitabu cha kumbukumbu ya miaka 50 ya Shirika la Bima la Taifa toka k Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wake Bw. Justine Mwandu leo Ikulu jijini Dar es salaam.
Shirika hilo ambalo limefufuk upya linaadhimisha miaka 50 ya kuanzisha kwake mwakani.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipitia hati ya bima yake ya maisha baada ya kukabidhiwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa Bw. Justine Mwandu leo Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisomewa taarifa ya uongozi wa Shirika la Bima la Taifa baada ya kupokea hati ya bima yake ya maisha leo Ikulu jijini Dar es salaam.PICHA NA IKULU
Kazi kweli kweli....haya mambo yanahitaji uzoefu
ReplyDeleteHizi ni salamu kwa watanzania,kwamba,jamani kumbukeni kuchukua Bima ya Maisha,ije iwanufaishe wale utakao waacha nyuma!Maisha ya binadamu ni mafupi sana,hata uishi miaka 88,bado utafikiri ulizaliwa jana!Rais Kikwete,is not doing this just for fun,or for the sake of it,NO! anatukumbusha,kwamba,wakati sasa umefika,hususan,kwa vijana wanao anza maisha,young graduates etc etc., kwamba,its time you had A Life Insurance Cover!, watu wengine ni wagumu kuelewa mambo,mpaka umtafunie na umtumbukizie kinywani mwake,ndipo atakapo weza kumeza,la sivyo,....ataishia kunawa nawa tu mikono! nime eleweka? uliza usiogope!
ReplyDelete