Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali, Makamu wa Pili wa Rais Wa Zanzibar Balozi Seif Iddi, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Waziri Mkuu Mstaafu Dkt Salim Ahmed Salim na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue wakishiriki katika mazishi ya Marehemu Mohamed Aboud Mohamed, aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Mstaafu, katika Makaburi ya Ngazija jijini Dar es salam leo Desemba 29, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiweka mchanga kaburini wakati wa mazishi ya Marehemu Mohamed Aboud Mohamed, aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Mstaafu, katika Makaburi ya Ngazija jijini Dar es salam leo Desemba 29, 2012. PICHA NA IKULU.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ndugu zangu,

    Tumuombe Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema Ampuzishe Baba yetu kwa Amani. Amen.

    Ni mimi nddugu yenu,

    Fidelis M Tungaraza.

    ReplyDelete
  2. Pole sana Afiya, Mwanjaha and the whole family. Inna Lillahi, wa Inna Ilayhi Rajiuun! Mwenyezi Mungu aipumzishe mzee wenu kwa Amani! Amen. Former schoolmate, Forodhani Primary& Secondary (1978-84)

    ReplyDelete
  3. Inna LiLahi wa Inna Illayhi RaJi'un. Allah ampe Kauli Thabit babu yetu, aliwekee nuru kaburi lake, amswameh madhambi yake na wotee waislam walotangulia. Amin Thuma Amin and may his memories give us enough strenghth to carry on. Tariq and Amina Aboud.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...