Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mbunge wa Ubungo Mhe John Mnyika na Balozi wa Korea kwa pamoja wakifungua rasmi jengo la Huduma za Mama na Mtoto katika Hospitali ya Sinza Palestine Kinondoni jijini Dar es salaam leo December 12, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mbunge wa Ubungo Mhe John Mnyika na Balozi wa Korea kwa pamoja wakifungua rasmi jengo la Huduma za Mama na Mtoto katika Hospitali ya Sinza Palestine Kinondoni jijini Dar es salaam leo December 12, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete wakimsalimia mzazi aliyejfungua salama alipofanya ziara baada ya kufungua rasmi jengo la Huduma za Mama na Mtoto katika Hospitali ya Sinza Palestine Kinondoni jijini Dar es salaam leo December 12, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete na Balozi wa Korea kwa pamoja wakitembelea sehemu ya chumba cha upasuaji mkubwa chenye vifaa vya kisasa baada ya kufungua rasmi jengo la Huduma za Mama na Mtoto katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Ilala ijini Dar es salaam leo December 12, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipewa saluti alipowasili kufungua rasmi jengo la Huduma za Mama na Mtoto katika Hospitali ya Sinza Palestine Kinondoni jijini Dar es salaam leo December 12, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mbunge wa Ubungo Mhe John Mnyika na Balozi wa Korea pamoja na madaktari na wauguzi katika picha ya pamoja baada ya kufungua rasmi jengo la Huduma za Mama na Mtoto katika Hospitali ya Sinza Palestine Kinondoni jijini Dar es salaam leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete na Balozi wa Korea kwa pamoja katika picha ya pamoja na madaktari na wauguzi wa Hospitali ya Mnazi mmoja baada ya kufungua rasmi jengo la Huduma za Mama na Mtoto katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Ilala ijini Dar es salaam leo December 12, 2012. PICHA NA IKULU.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. ndugu wadau naomba kuuliza swali, kwanini kila kunapokuwa na shughuli yoyote hasa za kiserikali Bongo lazima watu wakae chini na kupiga picha???

    Sio kwamba sipendi utamaduni huu kwasababu najua jibu rahisi nitakalopata ni kuwa na "kumbukumbu" ila sijaridhika na umuhimu wake. Picha zoote zimepigwa huko juu, then mwishoni bado mnakaa chini kupiga picha.

    Naomba mnieleze ni kwanini???

    ReplyDelete
  2. Hongera Rais Kikwete kwa jitihada zako za kukomboa mnyonge. Natambua huo ndio wajibu wa serikali. Lakini nakusifu kwa uwajibikaji wako na serikali yako

    ReplyDelete
  3. kwani kuna ulazima wa wewe kujua, watu wakikaa au kusimama, basi wewe lala ukitaka kupiga picha zako...

    ReplyDelete
  4. Hivi Misaaada yote ya ULAYA haifiki ZNZ?
    KILA MKOA WA TZ BARA USHAFAIDIKA BASI JAMANI AT LEAST KITU KIMOJA KIWE ZANZIBAR KAMA VILE MIKOA MENGINE WACHA DAR KWA KUWA NI MJI WA KIBIASHARA

    ReplyDelete
  5. HONGERA SINZA PALESTINA HOSPITAL,KWA KWELI MKO JUU,SIO SIRI

    ReplyDelete
  6. Kwa kweli Rais Kikwete ni mwema sana na mwajibikaji, lakini watu wake bwana, balaa. Ndio wanaotaka kuiangusha CCM.

    Hongera baba umejitahidi, si kazi ndogo kufanya kazi na watu ulionao. Lakini nina uhakika haikuumi kwa kuwa uliwachagua mwenyewe na uliwajua udhaifu.

    ReplyDelete
  7. Tangu lini saluti ikapigwa na mkono wa kushoto? Ukimsalimia mtu siyo lazima utoe saluti wakati huo huo. Unampa mkono ukimaliza unatoa saluti..siyo kufanya double penetration hapa...!!!

    ReplyDelete
  8. CHADEMA:

    Ukitaka kuamini ya kuwa hiki Chama Itikadi yao ni ya Uasi, fujo na vurugu angalia huyo jamaa picha ya 3 kutoka chini anampigia Saluti Mhe. Raisi JK,

    Je, ndiyo unamtisha Raisi?,,,unafikiri yeye anatishika?

    Hujui na yeye ametokea Jeshini kabisa achilia wewe Mgambo?,,,au ni kwa vile wengi wa CDM ni wageni kutoka nchi jirani Kenya ndio maana hamjui Historia za Vingozi wenu mnarukia kwenye Siasa tu!

    Wewe usifikiri kila mmoja anastahili kupiga Saluti, sasa wewe ni Mwananchi au Askari?

    Mkiitwa MGAMBO MTAKASIRIKA?

    ReplyDelete
  9. Mdau wa nne,,,eastafrican anonymous wa Wed Dec 12, 02:11:00 AM 2012

    TATIZO KUBWA SANA LA NDUGU ZETU WAZANZIBARI NI LAWAMA NYINGI SANA KULIKO HATA AKILI!

    KINGINE MNAKUWA WABINAFSI SANA NA KUTAKA UPENDELEO ZAIDI UWE KWENU!

    MBONA MISAADA INAGAWIWA NUSU KWA NUSU TANZANIA BARA NA VISIWANI ILHALI KIJIOGRAFIA ZANZIBAR NI SEHEMU NDOGO SANA KIENEO UKILINGANISHA NA MIKOA KIBAO YA BARA?

    ReplyDelete
  10. Wewe Chadema unayempigia saluti JK huogipi kufukuzwa kwenye chama chako?

    Wachagga wenzio watakuwa hawakuelewi kabisa watajua unataka kuhamia CCM !

    ReplyDelete
  11. Mwana Chedema Sinza,

    Dalili za kupiga SALUTI yako ni kuwa umeelewa Kisomo na Sera za CCM umezikubali !!!

    Kama ni demu amesha somesheka, amebaki kukaa mkao wa kuliwa!

    Hakuna ubishi, kama unavyoona Hospitali imekamilika na sasa inakabidhiwa, Chadema mseme nini tena?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...