Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,Jaji Kiongozi Fakhi Jundu (kushoto),Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Bernard Membe (watatu kulia) na mkuu wa mkoa wa Lindi Ludovick Mwananzila wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa jengo la Mahakama ya Mwanzo lililojengwa kwa nguvu za wananchi na wafadhili katika kata ya Rondo,jimbo la Mtama,Lindi vijijini leo.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Jaji Kiongozi Fakhi Jundu wakikagua jengo jipya la mahakama ya Mwanzo lililojengwa kwa nguvu ya wananchi na wafadhili mbalimbali katika kata ya Rondo, jimbo la Mtama,Lindi vijijini leo.(picha na Freddy Maro)
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mlemavu aliyetambulika kwa jina la Mwendo Saidi ,mkazi wa Lindi Vijijini.Rais Kikwete ameahidi kumpatia Msaada wa Bajaji mlemavu huyo,itakayomuwezesha kufanya shughuli zake mbali mbali.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. I love Kikwete. He is a very cosiderate and caring president Tanzania has ever had.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...