Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiakata utepe kuzindua rasmi mradi wa ujenzi wa nyumba 290 za gharama nafuu zinazojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)maeneo ya Kibada, Kigamboni, wilaya ya Temeke mkoa wa Dar es salaam leo December 13, 2012, akiwa pamoja na Mama Salma Kikwete, Naibu Waziri wa Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodluck Ole-Medeye, Naibu Waziri wa Fedha Sara Salum, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Frederick Werema, Mbunge wa Kigamboni Dkt Faustine Ndugulile ,Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Mhandisi Kesogukewele Msita , Mkurugenzi Mkuu Bw. Nehemia Mchechu.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa kuzindua rasmi mradi wa ujenzi wa nyumba 290 za gharama nafuu zinazojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)maeneo ya Kibada, Kigamboni, wilaya ya Temeke mkoa wa Dar es salaam leo December 13, 2012 . Kushoto ni Mama Salma Kikwete, kulia ni Naibu Waziri wa Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodluck Ole-Medeye, anayefuatiwa na Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Mhandisi Kesogukewele Msita , Mkurugenzi Mkuu Bw. Nehemia Mchechu.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembelea moja ya nyumba baada ya kuzindua rasmi mradi wa ujenzi wa nyumba 290 za gharama nafuu zinazojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)maeneo ya Kibada, Kigamboni, wilaya ya Temeke mkoa wa Dar es salaam leo December 13, 2012 . Wa tatu kulia ni Mama Salma Kikwete, kulia ni wa pili kushoto ni Naibu Waziri wa Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodluck Ole-Medeye, kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Mhandisi Kesogukewele Msita , Mkurugenzi Mkuu Bw. Nehemia Mchechu.PICHA NA IKULU
Hongera sana kwa menejimenti ya NHC ubunifu wa makazi bora kwa wananchi wa kada zote.Huu uwe ni mwendelezo wa kuboresha makazi katika maeneo ya pembezoni mwa Jiji la Dar es Salaam.Huu ni wakati ufaao kwa mamlaka husika kuikabidhi NHC jukumu la ujenzi wa makazi kwa ajili ya watumishi wa umma na majengo yote ya huduma za kijamii.
ReplyDeleteWatanzani acheni unafiki !!!
ReplyDeleteANDIKENI MAONI YA KUSHUKURU KWA JITIHADA HIZI!
HASA NYIE WA UPINZANI KILA KUKICHA MNAKOSOA NA KULALAMIKA!
UJENZI WA MAKAZI KWA NYUMBA MPYA ZA KISASA MCHEZO?
Siku zinavyokwenda ndio uzuri wa Rais tunavyozidi kuuona. Sasa shida hatuwezi kumuongezea muda...Nina wasiwasi kama tutapata rais mzuri na mwenye nguvu (KIAFYA!!) kwenye kipindi kijacho. Hilo suala la AFYA zingatieni maana kuna watarajiwa nina wazi wasi nao kigodo
ReplyDeleteMany congratulations to NHC team, at least now many Tanzanias can achieve their dream of owning a house.
ReplyDeleteJust reminding NHC to fix the old houses as well, they are falling appart leaking roofs, rotten windows.......and more.
all in all, good job.
Safi sana kwa NHC na wote waliohusika katika kusikiliza kilio cha watanzania na hatimye kutekeleza zoezi hili muhimu sana.
ReplyDeleteMaombi yangu ni umakini katika uuzaji wa nyumba hizi maana hofu ya watanzania itarudi palepele ikitokea wanao nunua na kukopeshwa walewale wenye ushawishi kiutawala na uchumi na sio wale wa kipato chetu cha chini! Chondechonde tusiruhusu ubaguzi kwenye hili
Hongera NHC jitihada zinaonekana asieona una upofu asamehewe
ReplyDelete