Meneja wa bia ya Safari Lager,Oscar Shelukindo (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza rasmi kutoa fomu za ushiriki wa msimu wa pili wa programu ya kuwawezesha wajasiriamali ifahamikayo kama “Safari Lager Wezeshwa”,iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni inayoratibu mchakato mzima wa Safari Wezeshwa,Joseph Migunda.
Meneja wa bia ya Safari Lager,Oscar Shelukindo akionyesha kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) tovuti ya  programu ya kuwawezesha wajasiriamali ya “Safari Lager Wezeshwa” ambayo itatumika pia kwa watu wanaotaka kujisajili kupitia mitandao.tovuti hiyo ni www.wezeshwa.co.tz.
Mkurugenzi wa Kampuni inayoratibu mchakato mzima wa Safari Wezeshwa,Joseph Migunda akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati alipokuwa akitoa sifa na vigezo vya ushiriki wa msimu wa pili wa programu ya kuwawezesha wajasiriamali ya “Safari Lager Wezeshwa”,ambavyo alivitaja kuwa ni (1).wawe wachapakazi hodari (2). wawe wanamiliki biashara binafsi ambazo ni halali (3). wawe na umri kati ya miaka 18 hadi 40 na (4). wawe na nia ya kukuza biashara zao ili ziweze kuwasaidia wao na jamii inayowazunguka.shughuli hii ilimefanyika leo jijini Dar es Salaam.Kulia ni Meneja wa bia ya Safari Lager,Oscar Shelukindo.
Meneja wa bia ya Safari Lager,Oscar Shelukindo akionyesha moja ya fomu za ushiriki wa program hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...