Mkuu wa Majeshi Mstaafu,Balozi Mirisho Sarakikya (wa pili kushoto) akikabidhi bendera ya taifa kwa Mkuu wa Majeshi Mstaafu,Jenerali George Waitara (katikati) ambaye ni kiongozi wa Upandaji wa Mlima Kilimanjaro muda mfupi kabla ya kuanza kwa zoezi hilo.
Kiongozi wa safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro,Mkuu wa Majeshi Mstaafu,Jenerali George Waitara (aliesimama) akizungumza wakati wa hafla fupi ya kuwaaga iliyofanyika lango la Marangu.Kulia ni Mkuu wa Majeshi Mstaafu,Balozi Mirisho Sarakikya.
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na Mazingira,Mh James Lembeli akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Mgeni rasmi katika hafla hiyo alikuwa ni mkuu wa majeshi wa kwanza Tanzania (jenelari mstaafu) Balozi Mirisho Sarakikya akisisitiza jambo wakati wa hafla ya kuwaaga viongozi waliokuwa wakipanda mlima Kilimanjaro hivi karibuni.
Vifaa vya wapandaji vikiwa tayari.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...