Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Ahsante sana Mpiganaji Nathan Mpangala kwa salamu zako

    Pia ahsante kwa jitihada zako Hongera sana!

    Pia pole nyingi kwa huyo mzee aliyeshiba na kujilaza hapo pembeni yeye pamoja na wenzake waliofikwa n janga hilo la 'ubonge nyanya' kwa kula bila mpangilio!!!

    ReplyDelete
  2. Kula raha lakini mwisho wake yanakuwa kama huyo babu hapo chini!

    Mtu anakuwa mkali anaagiza kwa kufoka akifika Hotelini:

    -Lete Mayai 4 kaanga zege ,nusu sahani viazi pia weka mguu mzima wa mbuzi!

    -Lete Supu ya Bata mzinga wa kienyeji, weka na chapati 6 na birika moja ama themosi ya chai ya maziwa!

    -Lete pilau sahani 2 kubwa za kupaka, weka mchuzi wa sharmaa juu, pamoja na gosi 2 haraka!

    MATOKEO YAKE NI:

    'mimba za kiume uzeeni'

    ReplyDelete
  3. Kama uwezekano upo wa kuhamisha akiba ya chakula kutoka ktk Maghala ya sehemu zenye mavuno ya ziada kwenda sehemu zenye njaa KITAIFA,

    Kwa nini pasiwe na Mpango wa KITAIFA pia kutoka kwa mtu hadi mtu kuhamisha Lishe kutoka kwa watu walielemewa na shibe kama huyo mzee aliyejilaza hapo chini kwenda kwa MAMIA KWA MAELFU YA WATU NA WATOTO WANAOISHI HASA VIJIJINI CHINI YA WASTANI WA DOLA $ 1 WENYE UTAPIAMLO?

    ReplyDelete
  4. jamaa yangu kona baa,lete kitimoto kilo nine rost,weka sahani tatu za chips kavu,hafu mushituen kaunta alete kreti mbili za kilimanjaro lager,fanya fast nina haraka.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...