Meneja wa Kampuni ya Kioo Ltd Bw. Kishir, akipokea oda ya vinywaji vikali vya Johnnie Walker kutoka kwa balozi wa vinywaji vikali wa Kampuni ya bia ya Serengeti Breweries Ltd   baada ya kufanya oda hiyo na kufungiwa kwenye mfumo mzuri wa zawadi. Hafla hiyo imefanyika mapema leo katika ofisi za Kioo Ltd zilizopo Chang’ombe,jijini dar.  Kampeni hii ya kutoa zawadi za mwisho wa mwaka zinaendeshwa kwa msemo usemao ‘Say it Without Saying it’. Maana yake toa zawadi kwa uwapendao badala ya kusema kwa maneno. Hivyo za wadi ya Johnnie Walker ndio muafaka kwa kipindihiki.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...