Mh Balozi Ngemera katika picha ya pamoja na maofisa wake kutoka ubalozini, kutoka kushoto ni mama Kejo, Mh Balozi Ngemera na Mr Siwa, katika Sherehe ya kumuaga baada ya kumaliza muda wa wake iliofanyika nyumbani kwa balozi Berlin Ujerumani.
.jpg)
Baadhi ya wageni waalikwa katika sherehe Peter Kazaura, Beatrice Thomas, Mr Baruti, Christina, Leo Kazaura na Selemani Batashi wakazi wa berlin.
Mzee Temu kulia akimpongeza Mh balozi Ngemera kushoto kwa kumaliza muda wake.
Mr Waitara kulia kutoka ubalozini akimpongeza Mh balozi Ngemera wa pili kushoto kwa kumaliza muda wake, kushoto ni mzee kisalia.
Baadhi ya wageni waalikwa wakazi wa ujerumani kutoka kushoto ni Christina, Joyce, Beatrice,Gladis na Esther.
Mh balozi Ngemera katikati kwenye na wakazi wa berlin kushoto ni Khalfani na kulia ni Christina.
Tunasikia kamanda FFU hakutokea kwa sababu alitonywa kuwa Mama Kimwaga wa Bremen alikua anamsubiri getini na bakora,kamanda wa FFU ilibidi apinde kona na kurudi kambini kwake
ReplyDeletekikamanda ketu cha ffu,hakikuwepo heti kanaogopa bakora za jimama pesa,si tunajua kuwa kamanda anasakwa na bakora kwa utovu wa nidhamu
ReplyDeletehafla kama haurusiwi kuingia na gwanda za FFU te!te! te! mwe! mwe! mwe! kamanda wa ffu ujumbe wako huu,ibuka basi tukuone?
ReplyDeletekuna tetezi kuwa kamanda wa ffu kuwa atapandishwa cheo na amiri jeshi mkuu
ReplyDeletetulisikia kuwa kikamanda ketu kipo msituni kwa kujifua zaidi na kikosi chake cha watoto wa mbwa aka ffu?
ReplyDeleteKamanda wa ffu inaelekea alipasutikia Berlin,labda hali kaona si salama kwa upande wake
ReplyDelete