Tangu Disemba 1, 1988 dunia imekuwa ikiadhimisha siku ya UKIMWI duniani. Wazo la kuadhimisha siku hiyo lilitolewa na James W. Bunn naThomas Netter ambao walikuwa ni maofisa habari (Global Programme on AIDS) kwenye Shirika la Afya Duniani. Dhumuni la kuadhimisha siku hiyo ni kutoa fursa kwa watu duniani kote kuungana katika mapambano dhidi ya VVU. 
Utepe Mwekundu
Huu ni wakati muafaka kwa jamii nzima wakiwemo wanamichezo pia kutafakari juu ya janga la UKIMWI. 

UKIMWI UNAUA! CHUKUA HATUA SASA, JILINDE NA MLINDE MWENZAKO PIA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ukimwi ni Ugonjwa hatari kweli kweli umeua ndugu,jamaa,marafiki na familia zetu kwa ujumla(RIP all).

    Wizara husika:Siku kama ya leo tunahitaji feedback(takwimu),tuna/taendelea kupambana nao,sawa,lakini je maambukizi(kwa Tanzania) yanapungua,yanaongezeka au yako pale pale?.Taarifa muhimu sana hizo.Weekend njema wote.

    David V

    ReplyDelete
  2. David V. nani ana jali? kama ungojwa huu una tumiwa for political purposes na kuwa saidia mafisadi? Wana jaribu kuji safisha? Do they think it is a game? The President is going to catch hell.Which government does he represent? Kwa nini watalamu wake wame muwachilia azugumzi mambo ya Ukiwimi? Uchawi umekwisha!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...