A/alaykum Kaka I.Michuzi!!!
Mie ni yule yule mdau wa blog yako tukufu, Mr Adams Chuma wa Gothemborg Sweden,
Leo nimekuja na jipya ingawaje kwako sio jipya ila kwa ndugu zetu wa Bongo wengi hawafahamu hali ya hewa ya Europe inavyokuwa katika kipindi hiki cha maandalizi ya X-mass.
hapa nimepiga picha baadhi ili niwadokezee walau kwa kifupi hali ya hewa ilivyo tufikia mwaka huu, imekuwa ghafla bin vuu, hapo tarehe 01-12-2012, ilianza kuanguka theluji kuanzia usiku wa saa 3 hadi asubuhi tuliamka tunakuta kote kweupe hata majani yalifunikwa.
leo hii tarehe nimefanikiwa kupata baadhi ya picture kutoka kwenye maeneo ninakoishi, kama hutajali basi naomba uziweke héwani na wa TZ wenzetu wafaidi angalau kwa macho haya tunayo yaona kwa dhahiri wala sio ndoto.
WABILAH TAUFIQ
hii ndo gari yako?
ReplyDeletepole ndugu yangu,uko gothenborg sehemu gani??mie mtanzania wenzako niko nje ya mji wa gothenborge,karibu xmas nyumbani...tuwasiliane kwa email krogtoftmakowa@yahoo.com
ReplyDeleteUSIJALI TUNAJUA WEWE NI MBEBA BOX MZURI SANA,HIYO SNOW HUKO NJIANI UTAIBEBA KAMA OVERTIME.MDAU MLALE JKT.
ReplyDeleteNawatakia Christmas Njema nyote
ReplyDelete
ReplyDeleteIdho baithkeli dhote dhako?
We ndio umefika au?
ReplyDelete