Spika wa Bunge la Seychelles,Dr.Patrick Herminie (wa pili kushoto)akiwa ameshikilia Bendera ya Chama cha Wabunge wa Jumuiya ya Madola (CPA) Kanda ya Afrika mara baada ya kukabidhiwa na Katibu Msaidizi wa CPA,Nd.Demetrius Mgalami (kushoto),wengine ni Bi.Azarel Ernesta (pili kulia) Katibu wa Bunge la Seychelles na Mhe.Andre Pool,Naibu Spika wa Seychelles.
Picha ya Pamoja baina ya Ujumbe wa Sekretarieti ya CPA Kanda ya Afrika na Uongozi wa Bunge la Seychelles.Kutoka kushoto ni Mratibu wa Miradi na Matukio wa CPA Kanda ya Afrika,Nd.Saidi Yakubu, Katibu Msaidizi wa CPA Nd.Demetrius Mgalami,Spika Patrick Herminie na Naibu wake Andre Pool wa Seychelles na Katibu wa Bunge Bi.Azarel Ernesta.Ujumbe huo uko Seychelles kukagua hatua za maandalizi ya Mkutano wa Maspika na Viongozi wa Bunge toka Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika utakaofanyika Septemba 2013.
Kikao cha pamoja baina ya Wawakilishi wa Sekretatieti ya CPA Barani Afrika yenye makao yake makuu nchini Tanzania na Uongozi wa Kamati ya Maandalizi ya Mkutano wa Maspika wa Jumuiya ya Madola katika Bunge la Seychelles.Picha kwa Hisani ya Ofisi ya Bunge.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...